Ufafanuzi wa uoto katika Kiswahili

uoto

nominoPlural uoto

  • 1

    jumla ya mimea mingi kwa pamoja iliyoota juu ya ardhi.

Matamshi

uoto

/uwɔtɔ/