Ufafanuzi wa uovu katika Kiswahili

uovu

nomino

  • 1

    hali ya kutenda mabaya.

    ubaya, uwi, fila

Matamshi

uovu

/uwɔvu/