Ufafanuzi wa upakajirangi katika Kiswahili

upakajirangi

nominoPlural upakajirangi

  • 1

    sanaa au kazi ya ustadi wa kupaka rangi.

Matamshi

upakajirangi

/upakaʄirangi/