Ufafanuzi wa upana katika Kiswahili

upana

nomino

  • 1

    sehemu iliyo fupi katika kitu cha umbo la mstatili.

Matamshi

upana

/upana/