Ufafanuzi wa upapi katika Kiswahili

upapi

nominoPlural papi

  • 1

    kipande chembamba cha mbao au nguo ambacho huwekwa mwishoni au pembezoni mwa kitu kwa makusudi ya kuziba, kuongezea au kuremba.

    ufito, papi, ufite, utepe

Matamshi

upapi

/upapi/