Ufafanuzi wa upara katika Kiswahili

upara

nomino

  • 1

    sehemu isiyo na nywele kichwani, agh. kwa sababu ya uzee.

    kidazi

Matamshi

upara

/upara/