Ufafanuzi wa upatanisho wa kisarufi katika Kiswahili

upatanisho wa kisarufi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    utaratibu ambao kila nomino huwa inawakilishwa na mofimu katika maumbo mengine yanayohusiana nayo katika sentensi.

  • 2

    Sarufi
    hali ya kukubaliana kunakojitokeza baina ya nomino kiima na kitenzi au kivumishi inayowakilishwa na viambishi.