Ufafanuzi wa upati katika Kiswahili

upati

nominoPlural pati

  • 1

    nguo inayopitishwa baina ya pachipachi za miguu na kuwa kama suruali inayopwaya.

    ubinda

  • 2

    sodo

Matamshi

upati

/upati/