Ufafanuzi wa upatikanaji katika Kiswahili

upatikanaji

nomino

  • 1

    namna ya kupata kitu.

    ‘Upatikanaji wa dhahabu sio rahisi’

Matamshi

upatikanaji

/upatikanaŹ„i/