Ufafanuzi wa upau katika Kiswahili

upau

nomino

  • 1

    boriti ya mti au ubao wa kupaulia nyumba.

Matamshi

upau

/upawu/