Ufafanuzi wa upawa katika Kiswahili

upawa

nominoPlural pawa

  • 1

    chombo, agh. cha kifuu cha nazi, kinachofanana na kijiko kikubwa na agh. hutumika kukorogea au kuchotea mchuzi.

    ukasi

Matamshi

upawa

/upawa/