Ufafanuzi wa upayukaji katika Kiswahili

upayukaji

nominoPlural upayukaji

  • 1

    namna ya kuongea k.v. mwehu; uongeaji usiotarajiwa na usio na kanuni za maongezi.

Matamshi

upayukaji

/upajukaʄi/