Ufafanuzi msingi wa upekecho katika Kiswahili

: upekecho1upekecho2

upekecho1

nominoPlural pekecho, Plural upekecho

  • 1

    kifaa cha kupekechea.

Matamshi

upekecho

/upɛkɛtʃɔ/

Ufafanuzi msingi wa upekecho katika Kiswahili

: upekecho1upekecho2

upekecho2

nominoPlural pekecho, Plural upekecho

  • 1

    hali ya kupekecha.

Matamshi

upekecho

/upɛkɛtʃɔ/