Ufafanuzi wa upendeleo katika Kiswahili

upendeleo

nomino

  • 1

    hali au tabia ya kupendelea.

    tajamala, huba

Matamshi

upendeleo

/upɛndɛlɛwɔ/