Ufafanuzi wa upenyezi katika Kiswahili

upenyezi

nomino

  • 1

    namna au tabia ya kupitisha kitu kinyume cha sheria.

Matamshi

upenyezi

/upɛɲɛzi/