Ufafanuzi wa upikaji katika Kiswahili

upikaji

nominoPlural upikaji

  • 1

    namna au tendo la kupika chakula.

    upishi

Matamshi

upikaji

/upikaʄi/