Ufafanuzi wa upole katika Kiswahili

upole

nominoPlural upole

  • 1

    hali ya utulivu na utaratibu.

    uraufu, huruma

Matamshi

upole

/upɔlɛ/