Ufafanuzi wa upumbavu katika Kiswahili

upumbavu

nominoPlural upumbavu

  • 1

    hali ya kupumbaa.

    ubwege, ubahaluli, ubozi, ubahau, ujahili, ujinga

  • 2

    hali ya kutokuwa na maana.

Matamshi

upumbavu

/upumbavu/