Ufafanuzi wa upunga katika Kiswahili

upunga

nominoPlural punga

  • 1

    hali ya ua la mmea au mti lianzapo kuwa matunda.

Matamshi

upunga

/upunga/