Ufafanuzi msingi wa upupu katika Kiswahili

: upupu1upupu2

upupu1

nominoPlural pupu, Plural upupu

  • 1

    namna ya mmea unaozaa maharage mwitu na kufunikwa na nywelenywele ndogondogo ambazo zikipukutikia mwilini huwasha sana.

    kiwavi

Matamshi

upupu

/upupu/

Ufafanuzi msingi wa upupu katika Kiswahili

: upupu1upupu2

upupu2

nominoPlural pupu, Plural upupu

  • 1

    vumbi linalotokana na nafaka, na ambalo linawasha mwilini.

    wage

Matamshi

upupu

/upupu/