Ufafanuzi msingi wa upwa katika Kiswahili

: upwa1upwa2

upwa1

nominoPlural pwa, Plural upwa

  • 1

    sehemu ya pwani ambayo maji hujaa na kupwa.

    ufuko

Matamshi

upwa

/upwa/

Ufafanuzi msingi wa upwa katika Kiswahili

: upwa1upwa2

upwa2

nominoPlural pwa, Plural upwa

  • 1

    uhusiano wa kidugu wa mwanamume kwa mtoto wa nduguye wa kike; uhusiano wa mtu na mjomba wake.

Matamshi

upwa

/upwa/