Ufafanuzi wa uradi katika Kiswahili

uradi

nomino

  • 1

    dua au kisomo kinachosomwa kila siku au baada ya sala.

Asili

Kar

Matamshi

uradi

/uradi/