Ufafanuzi wa uraghibishaji katika Kiswahili

uraghibishaji

nominoPlural uraghibishaji

  • 1

    uteteaji kwa njia ya kunadi, kuhamasisha au kuunga mkono jambo, wazo, tendo au itikadi na kufuatilia mpaka utekelezaji wake ukamilike.

    uhamasishaji

Asili

Kar

Matamshi

uraghibishaji

/uraɚibi∫aʄi/