Ufafanuzi wa urahisi katika Kiswahili

urahisi

nominoPlural urahisi

  • 1

    wepesi wa kufanya jambo; hali ya kutoona ugumu.

    sahali, wepesi

  • 2

    hali ya kutokuwa ghali.

    nafuu

Asili

Kar

Matamshi

urahisi

/urahisi/