Ufafanuzi wa urajimishaji katika Kiswahili

urajimishaji

kitenzi sielekezi

  • 1

    tia chapa au alama maalum katika kitu au bidhaa inayozalishwa kwa lengo la kutambulisha mtengenezaji.

Matamshi

urajimishaji

/uraʄimi∫aʄi/