Ufafanuzi wa uramali katika Kiswahili

uramali

nomino

  • 1

    ufundi wa kutumia dawa, agh. za vitabu maalumu vya uganga, ili kuleta madhara kwa viumbe.

Asili

Kar

Matamshi

uramali

/uramali/