Ufafanuzi wa urari katika Kiswahili

urari

nomino

  • 1

    usawa upasao.

    ‘Urari wa hesabu’
    ulinganifu

Asili

Kar

Matamshi

urari

/urari/