Ufafanuzi wa urasimu katika Kiswahili

urasimu

nominoPlural urasimu

  • 1

    utaratibu wa kuendesha kazi za kiofisi kulingana na kanuni za kiutawala.

Asili

Kar

Matamshi

urasimu

/urasimu/