Ufafanuzi wa urefu katika Kiswahili

urefu

nominoPlural urefu

  • 1

    kipimo cha kimo au umbali.

    ‘Urefu wa barabara’

  • 2

    sehemu iliyo ndefu katika kitu cha umbo la mstatili.

Matamshi

urefu

/urɛfu/