Ufafanuzi wa urejeano katika Kiswahili

urejeano

nominoPlural urejeano

  • 1

    utaratibu wa kumwonyesha msomaji au mtumiaji k.v. wa kamusi hii, uhusiano uliopo baina ya k.v. neno na neno jingine kwa kumrudisha kwenye neno hilo k.m. kidahizo barubaru kina kibadala barobaro au kidahizo upweke kina kisawe kitwea, ili aone uhusiano huo anadokezewa kwa maneno pia au tazama katika kurasa mbalimbali.

Matamshi

urejeano

/urɛʄɛjanɔ/