Ufafanuzi wa urekebisho katika Kiswahili

urekebisho

nomino

  • 1

    usahihishaji wa jambo, kitu au mwenendo ili uwe sawa.

Matamshi

urekebisho

/urɛkɛbi∫ɔ/