Ufafanuzi wa urithi katika Kiswahili

urithi

nominoPlural urithi

  • 1

    mtu, mali au vitu vinavyoachwa na marehemu na kupewa mtu fulani, agh. wa ukoo.

    mirathi

Asili

Kar

Matamshi

urithi

/uriθi/