Ufafanuzi wa usafi katika Kiswahili

usafi

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na uchafu.

    ‘Usafini tabia’

Asili

Kaj

Matamshi

usafi

/usafi/