Ufafanuzi wa usafiri katika Kiswahili

usafiri

nominoPlural usafiri

  • 1

    namna au hali ya safari za chombo cha kusafiria.

    ‘Usafiri ulikuwa ni mzuri’

  • 2

    shughuli ya kusafirisha watu au mizigo.

    ‘Vyombo vya usafiri’

Asili

Kar

Matamshi

usafiri

/usafiri/