Ufafanuzi wa usagishaji katika Kiswahili

usagishaji

nominoPlural usagishaji

  • 1

    tendo la kufanya kitu kama nafaka kiwe ungaunga.

Matamshi

usagishaji

/usagi∫aʄi/