Ufafanuzi wa usahihi katika Kiswahili

usahihi

nominoPlural usahihi

  • 1

    hali ya kutokuwa na makosa.

  • 2

    ukweli

Asili

Kar

Matamshi

usahihi

/usahihi/