Ufafanuzi wa usaili katika Kiswahili

usaili

nominoPlural usaili

  • 1

    mazungumzo yanayoambatana na maswali anayoulizwa mtu na mtu mwingine au jopo la watu ili kudadisi taarifa fulani au kujua kama anafaa kwa kazi aliyoiomba.

Asili

Kar

Matamshi

usaili

/usaIli/