Ufafanuzi wa usakubimbi katika Kiswahili

usakubimbi

nominoPlural usakubimbi

  • 1

    hali ya mtu kupenda kutafuta habari za watu, agh. za uongo.

Matamshi

usakubimbi

/usakubimbi/