Ufafanuzi wa usalama katika Kiswahili

usalama

nominoPlural usalama

  • 1

    hali ya kutokuwepo hatari au matatizo.

    amani

  • 2

    kazi ya askari wanaohusika na amani miongoni mwa raia.

Asili

Kar

Matamshi

usalama

/usalama/