Ufafanuzi wa usanifu katika Kiswahili

usanifu

nominoPlural usanifu

  • 1

    ufundi au ustadi wa uchoraji maumbo yanayoonesha jinsi kitu chenyewe kitakavyokuwa.

  • 2

    hali ya kufuata kanuni au taratibu zilizokubaliwa k.v. kwenye lugha.

  • 3

    utunzi

Asili

Kar

Matamshi

usanifu

/usanifu/