Ufafanuzi wa usanii katika Kiswahili

usanii

nominoPlural usanii

  • 1

    shughuli za sanaa k.v. uchoraji, uimbaji, uchongaji au ufumaji.

Asili

Kar

Matamshi

usanii

/usani:/