Ufafanuzi wa usawa katika Kiswahili

usawa

nominoPlural usawa

  • 1

    hali ya kulingana; hali ya kuwa bila ya tofauti; hali ya kuwa sawasawa.

    ‘Usawa wa binadamu’
    laiki

Asili

Kar

Matamshi

usawa

/usawa/