Ufafanuzi wa useremala katika Kiswahili

useremala

nomino

  • 1

    kazi ya kutengeneza vyombo vya mbao; ufundi wa kutengeneza vitu vya mbao; kazi ya seremala.

Matamshi

useremala

/usɛrɛmala/