Ufafanuzi wa ushababi katika Kiswahili

ushababi

nomino

  • 1

    hali ya kuwa shababi.

    ujana

Asili

Kar

Matamshi

ushababi

/u∫ababi/