Ufafanuzi msingi wa usheha katika Kiswahili

: usheha1usheha2

usheha1

nomino

  • 1

    kazi ya sheha.

Asili

Kar

Matamshi

usheha

/u∫ɛha/

Ufafanuzi msingi wa usheha katika Kiswahili

: usheha1usheha2

usheha2

nomino

  • 1

    kundi kubwa la watu.

    ‘Usije na usheha wako, mimi sina cha kuwapa’

Asili

Kar

Matamshi

usheha

/u∫ɛha/