Ufafanuzi wa ushehe katika Kiswahili

ushehe, ushekhe

nominoPlural ushehe

  • 1

    sifa au hali ya mtu kuwa na elimu ya dini ya Kiislamu.

  • 2

    sifa au hali ya mtu kuheshimiwa kutokana na busara alizonazo, agh. huwa na umri mkubwa.

Asili

Kar

Matamshi

ushehe

/u∫ɛhɛ/