Ufafanuzi wa ushenzi katika Kiswahili

ushenzi

nominoPlural ushenzi

  • 1

    hali ya kuwa nyuma kimaendeleo na kutenda matendo ya kijinga na ya kikatili; hali ya kutostaarabika.

Asili

Kaj

Matamshi

ushenzi

/u∫ɛnzi/