Ufafanuzi msingi wa ushirika katika Kiswahili

: ushirika1ushirika2

ushirika1

nominoPlural ushirika

 • 1

  hali ya kuungana pamoja ili kufanya jambo au kusaidiana katika shughuli au kazi fulani.

  ‘Chama cha ushirika’
  jumuia

Asili

Kar

Matamshi

ushirika

/u∫irika/

Ufafanuzi msingi wa ushirika katika Kiswahili

: ushirika1ushirika2

ushirika2

nominoPlural ushirika

Kidini
 • 1

  Kidini
  sakramenti itolewayo kanisani kuwa ni ishara ya damu na mwili wa Yesu Kristo.

  ‘Ushirika Mtakatifu’

Asili

Kar

Matamshi

ushirika

/u∫irika/