Ufafanuzi wa ushiriki katika Kiswahili

ushiriki

nominoPlural ushiriki

  • 1

    hali au tendo la kuwa pamoja na mtu au watu wengine katika kufanya jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

ushiriki

/u∫iriki/