Ufafanuzi wa ushirikiano katika Kiswahili

ushirikiano

nominoPlural ushirikiano

  • 1

    hali ya kuungana na kusaidiana katika jambo.

    uelewano, changamano, tangamano, ambatano, umoja, fungamano

Asili

Kar

Matamshi

ushirikiano

/u∫irikijanɔ/